TUKUJUZE MEDIA

TUKUJUZE MEDIA
TUKUJUZE ONLINE MEDIA

Breaking News

About

Hichi ni kituo cha habari kwa maendeleo ya wafugaji mkoa wa Kaskazini Pemba - Zanzibar - Tanzania.

Tunalengo la Kuwasaidia wafungaji wa Mkowa wetu elimu ya ufugaji wa kiksasa kwa lengo la kukuza kipato chao na ndio maana tukaanzisha kituo hichi.

Lengo letu nikuwafikia wafugaji wote wa  Pemba  ili kuweza kutoa elimu na kubadili mawazo kutokana na ufungaji wao lakini bado hadi sasa hatuja weza kuwafikia kutokana na uhaba wa vitendea kazi pamoja na fedha za kutosha ili kuwafikia pale walipo.

Tumeanzisha Kituo hichi Tukiwa  na lengo la kufungua Radio itakayo julikana kwa jina la ( NOTHERN COMMUNITY MEDIA FOR PARSTORALISM DEVELOPMENT ). Kwa kifupi {NOCOMPED}. 

Tumefanikiwa kufungua blog ambayo kwa sasa imekuwa maarufu sana kwenye mitandao ya kijamii ambayo inajulikana kwa jina la https://nocompedcommunitymedia.blogspot.com. pia kupia vyanzo hivi vya kijamii kama vile.

facebook tunapatikana kwa : https://www.facebook.com/Nocomped-Community-Media-From-Pemba-1275332965815576/

Twiter ni : https://twitter.com/alingome11

 Youtube : Nocomped Community Media From Pemba.

linkedin:https://www.linkedin.com/in/ali-fort-ab9a90154

tumblr:http://lovenocompedcommunitymediablr.tumblr.com.

na kwa barua pepe ni: nocompedfmradio@yahoo.com  nk.

Hakuna maoni