TUKUJUZE MEDIA

TUKUJUZE MEDIA
TUKUJUZE ONLINE MEDIA

Breaking News

Mgombea Urais CCM Zanzibar Dr Hussein Mwinyi Kuzindua Kampeni Kesho Jumamosi Septemba 12 - KibandaMaiti.

 

Waeleze wana kuwa KibandaMaiti ZANZIBAR kuna jambo. Mjulishe mwenzako kuwa wanaCCM wana JAMBO lao na Rais wao ajaye.... Mtu wa watu, Mnyenyekevu, Kijana Mchapakazi na anayekubalika Dkt Hussein Mwinyi. 
 
Ni kesho JUMAMOSI tarehe 12 Septemba 202O.

Hakuna maoni